Ruthu 4:15 BHN

15 Yeye atakurudishia uhai wako na atakutunza katika uzee wako; maana mkwe wako anayekupenda ambaye ana thamani kubwa zaidi kwako kuliko watoto wa kiume saba, ndiye amemzaa.”

Kusoma sura kamili Ruthu 4

Mtazamo Ruthu 4:15 katika mazingira