Ruthu 4:14 BHN

14 Ndipo wanawake wa mji huo wakamwambia Naomi, “Atukuzwe Mwenyezi-Mungu ambaye hakukuacha leo bila kuwa na jamaa aliye karibu wa kukutunza; naye awe mwenye sifa kubwa katika Israeli.

Kusoma sura kamili Ruthu 4

Mtazamo Ruthu 4:14 katika mazingira