Wimbo Ulio Bora 1:6 BHN

6 Msinishangae kwa sababu ni mweusi,maana jua limenichoma.Ndugu zangu walinikasirikia,wakanifanya mlinzi wa mashamba ya mizabibu.Lakini sikutunza shamba langu la mizabibu.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 1

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 1:6 katika mazingira