Wimbo Ulio Bora 1:7 BHN

7 Hebu niambie ee wangu wa moyo,utawalisha wapi kondoo wako?Ni wapi watakapopumzikia adhuhuri?Kwa nini mimi nikutafutekati ya makundi ya wenzako?

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 1

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 1:7 katika mazingira