Wimbo Ulio Bora 4:16 BHN

16 Vuma, ewe upepo wa kaskazi,njoo, ewe upepo wa kusi;vumeni juu ya bustani yangu,mlijaze anga kwa manukato yake.Mpenzi wangu na aje bustanini mwake,ale matunda yake bora kuliko yote.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 4

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 4:16 katika mazingira