Wimbo Ulio Bora 5:1 BHN

1 Naingia bustanini mwangu,dada yangu, bi arusi.Nakusanya manemane na viungo,nala sega langu la asali,nanywa divai yangu na maziwa yangu.Kuleni enyi marafiki, kunyweni;kunyweni sana wapendwa wangu.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 5

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 5:1 katika mazingira