Wimbo Ulio Bora 5:2 BHN

2 Nililala, lakini moyo wangu haukulala.Sauti ya mpenzi wangu anabisha hodi.“Nifungulie, dada yangu mpenzi wangu, bibiarusi wangu,hua wangu, usiye na kasoro.Kichwa changu kimelowa umandena nywele zangu manyunyu ya usiku.”

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 5

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 5:2 katika mazingira