Wimbo Ulio Bora 4:3 BHN

3 Midomo yako ni kama utepe mwekundu,kinywa chako chavutia kweli.Nyuma ya shela lako,mashavu yako ni kama nusu mbili za komamanga.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 4

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 4:3 katika mazingira