Wimbo Ulio Bora 5:15 BHN

15 Miguu yake ni kama nguzo za alabastazilizosimikwa katika misingi ya dhahabu.Umbo lake ni kama Lebanoni,ni bora kama miti ya mierezi.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 5

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 5:15 katika mazingira