Wimbo Ulio Bora 5:16 BHN

16 Kinywa chake kimejaa maneno matamu,kwa ujumla anapendeza.Basi, hivyo ndivyo alivyo mpenzi wangu,naam, ndivyo alivyo rafiki yangu,enyi wanawake wa Yerusalemu.

Kusoma sura kamili Wimbo Ulio Bora 5

Mtazamo Wimbo Ulio Bora 5:16 katika mazingira