Yoeli 1:4 BHN

4 Nzige, makundi kwa makundi, wameivamia mimea;kilichoachwa na nzige kimeliwa na tunutu,kilichoachwa na tunutu kimeliwa na parare,kilichoachwa na parare kimeliwa na matumatu.

Kusoma sura kamili Yoeli 1

Mtazamo Yoeli 1:4 katika mazingira