Yoeli 2:11 BHN

11 Mwenyezi-Mungu anaamuru jeshi lake kwa sauti;askari wake ni wengi mno,wanaomtii hawahesabiki.2Siku ya Mwenyezi-Mungu kweli ni kuu na ya kutisha sana!Nani atakayeweza kuistahimili?

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:11 katika mazingira