Yoeli 2:13 BHN

13 Msirarue mavazi yenu kuonesha huzunibali nirudieni kwa moyo wa toba.”Mrudieni Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu;yeye amejaa neema na huruma;hakasiriki upesi, ni mwingi wa fadhili;daima yu tayari kuacha kuadhibu.

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:13 katika mazingira