Yoeli 2:16 BHN

16 Wakusanyeni watu wote,wawekeni watu wakfu.Waleteni wazee,wakusanyeni watoto,hata watoto wanyonyao.Bwana arusi na bibi arusina watoke vyumbani mwao.

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:16 katika mazingira