Yoeli 2:23 BHN

23 “Furahini, enyi watu wa Siyoni,shangilieni kwa sababu ya Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu,maana amewapeni mvua za masika,amewapeni mvua ya kutosha:Mvua za masika na mvua za vuli kama hapo awali.

Kusoma sura kamili Yoeli 2

Mtazamo Yoeli 2:23 katika mazingira