Yona 1:10 BHN

10 Kisha Yona akawaeleza kwamba alikuwa anamkwepa Mwenyezi-Mungu. Kusikia hayo, mabaharia hao wakazidi kujawa na hofu, wakamwambia, “Umefanya nini wewe!”

Kusoma sura kamili Yona 1

Mtazamo Yona 1:10 katika mazingira