17 Kisha, Mwenyezi-Mungu akaamuru samaki mkubwa ammeze Yona, naye akawa tumboni mwa samaki huyo kwa muda wa siku tatu, usiku na mchana.
Kusoma sura kamili Yona 1
Mtazamo Yona 1:17 katika mazingira