Yona 1:7 BHN

7 Mabaharia wakasemezana: “Tupige kura tujue balaa hili limetupata kwa kosa la nani.” Basi, wakapiga kura; kura ikamwangukia Yona.

Kusoma sura kamili Yona 1

Mtazamo Yona 1:7 katika mazingira