Yona 3:8 BHN

8 Watu wote na wanyama wavae mavazi ya gunia. Kila mtu na amwombe Mungu na kumsihi kwa moyo. Naam, kila mmoja na aache uovu na ukatili wake.

Kusoma sura kamili Yona 3

Mtazamo Yona 3:8 katika mazingira