Yona 4:6 BHN

6 Mungu, Mwenyezi-Mungu akaamuru mmea uote na kukua. Akauotesha ili kumpatia Yona kivuli cha kumpunguzia taabu aliyokuwa nayo. Yona akaufurahia sana mmea huo.

Kusoma sura kamili Yona 4

Mtazamo Yona 4:6 katika mazingira