Yoshua 1:14 BHN

14 Wake zenu, watoto wenu na wanyama wenu wa kufugwa watabaki katika nchi hiyo ambayo Mose aliwapeni, ngambo ya mto Yordani. Lakini wanaume wote hodari wakiwa na silaha watavuka mto na kuwatangulia ndugu zenu.

Kusoma sura kamili Yoshua 1

Mtazamo Yoshua 1:14 katika mazingira