Yoshua 1:17 BHN

17 Kama vile tulivyomtii Mose katika mambo yote, ndivyo tutakavyokutii wewe; Mwenyezi-Mungu, Mungu wako na awe pamoja nawe kama alivyokuwa pamoja na Mose.

Kusoma sura kamili Yoshua 1

Mtazamo Yoshua 1:17 katika mazingira