Yoshua 10:21 BHN

21 Baada ya hayo Waisraeli wote walirudi salama kwa Yoshua huko kambini Makeda; na hakuna tena mtu aliyethubutu kusema lolote dhidi ya Waisraeli.

Kusoma sura kamili Yoshua 10

Mtazamo Yoshua 10:21 katika mazingira