Yoshua 10:6 BHN

6 Wagibeoni wakapeleka ujumbe kwa Yoshua huko kambini Gilgali, wakamwambia, “Tafadhali, usitutupe sisi watumishi wako; njoo upesi utusaidie na kutuokoa kwa maana wafalme wote wa Waamori kutoka nchi ya milimani wamekuja kutushambulia.”

Kusoma sura kamili Yoshua 10

Mtazamo Yoshua 10:6 katika mazingira