17 aliwateka na kuwaua wafalme wote wa nchi hizo kuanzia mlima uliokuwa mtupu wa Halaki karibu na Seiri mpaka Baal-gadi katika bonde la Lebanoni, kusini ya mlima Hermoni.
Kusoma sura kamili Yoshua 11
Mtazamo Yoshua 11:17 katika mazingira