Yoshua 11:19 BHN

19 Hakuna mji ambao ulifanya mapatano ya amani na Waisraeli, isipokuwa Gibeoni tu, ambamo waliishi Wahivi. Waisraeli waliiteka miji mingine yote kwa kupigana vita.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:19 katika mazingira