Yoshua 11:21 BHN

21 Wakati huo, Yoshua alikwenda, akawaangamiza Waanaki waliokuwa wanaishi katika milima huko Hebroni, Debiri, Anabu, nchi yote ya milima ya Yuda na Israeli. Yoshua aliwaangamiza watu hao pamoja na miji yao.

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:21 katika mazingira