Yoshua 11:6 BHN

6 Mwenyezi-Mungu akamwambia Yoshua, “Usiwaogope hao, maana kesho, wakati kama huu, nitawaangamiza wote kwa kuwatia mikononi mwa Waisraeli; nanyi mtakata mishipa ya farasi wao na kuteketeza magari yao kwa moto.”

Kusoma sura kamili Yoshua 11

Mtazamo Yoshua 11:6 katika mazingira