Yoshua 13:8 BHN

8 Makabila ya Reubeni, Gadi na nusu nyingine ya kabila la Manase yalikuwa yamepewa nchi iliyo mashariki ya mto Yordani, kama Mwenyezi-Mungu alivyomwamuru Mose, mtumishi wake.

Kusoma sura kamili Yoshua 13

Mtazamo Yoshua 13:8 katika mazingira