Yoshua 14:11 BHN

11 Lakini bado nina nguvu kama nilivyokuwa wakati ule Mose aliponituma. Hata sasa nina nguvu za kuweza kupigana vita au kufanya kazi nyingine yoyote.

Kusoma sura kamili Yoshua 14

Mtazamo Yoshua 14:11 katika mazingira