Yoshua 15:1 BHN

1 Eneo la nchi waliyopewa kwa kura watu wa kabila la Yuda kulingana na jamaa zake lilienea tangu kusini-mashariki hadi mpakani mwa Edomu. Sehemu ya kusini kabisa ilikuwa jangwa la Sini.

Kusoma sura kamili Yoshua 15

Mtazamo Yoshua 15:1 katika mazingira