Yoshua 15:16 BHN

16 Kalebu akatangaza kwamba atamwoza binti yake Aksa kwa mwanamume yeyote atakayeuteka mji wa Kiriath-seferi.

Kusoma sura kamili Yoshua 15

Mtazamo Yoshua 15:16 katika mazingira