Yoshua 15:4 BHN

4 Kutoka hapo ulipita karibu na Asmoni na kufuata kijito cha Misri hadi kufikia kwenye bahari ya Mediteranea. Hapo ndipo ulipopita mpaka wa kusini wa Yuda.

Kusoma sura kamili Yoshua 15

Mtazamo Yoshua 15:4 katika mazingira