Yoshua 16:10 BHN

10 Waefraimu hawakuwafukuza Wakanaani walioishi Gezeri. Wakanaani hao waliendelea kukaa miongoni mwa watu wa Efraimu mpaka leo, wakiwa watumwa wa kuwafanyia kazi za kulazimishwa.

Kusoma sura kamili Yoshua 16

Mtazamo Yoshua 16:10 katika mazingira