Yoshua 16:6 BHN

6 na kuishia bahari ya Mediteranea. Kwa upande wa kaskazini mpaka ulipita Mikmethathi na kwa mashariki yake ulizunguka na kuelekea Taanath-shilo ambako ulipita upande wa mashariki hadi Yanoa.

Kusoma sura kamili Yoshua 16

Mtazamo Yoshua 16:6 katika mazingira