Yoshua 19:22 BHN

22 Kadhalika, mpaka wao ulifika Tabori, Shahasuma, Beth-shemeshi na kuishia kwenye mto Yordani. Jumla ya miji waliyopewa ni kumi na sita pamoja na vijiji vyake.

Kusoma sura kamili Yoshua 19

Mtazamo Yoshua 19:22 katika mazingira