33 Mpaka wake ulianzia Helefu na mwaloni mwa Zaananimu, ukapita Adami-nekebu na Yabneeli hadi Lakumu na kuishia kwenye mto Yordani.
Kusoma sura kamili Yoshua 19
Mtazamo Yoshua 19:33 katika mazingira