Yoshua 19:7 BHN

7 Pia kulikuwa na miji ya En-rimoni, Etheri, na Ashani. Jumla ya miji waliyopewa ni minne pamoja na vijiji vyake.

Kusoma sura kamili Yoshua 19

Mtazamo Yoshua 19:7 katika mazingira