Yoshua 19:9 BHN

9 Kwa vile eneo lililopewa kabila la Yuda lilikuwa kubwa kuliko kabila hilo lilivyohitaji, sehemu ya eneo lake lilipewa kabila la Simeoni.

Kusoma sura kamili Yoshua 19

Mtazamo Yoshua 19:9 katika mazingira