14 Wale watu wakamjibu, “Uhai wenu ni uhai wetu! Kama hamtaifichua siri yetu, Mwenyezi-Mungu atakapotupa nchi hii, tutakutendea kwa wema na uaminifu.”
Kusoma sura kamili Yoshua 2
Mtazamo Yoshua 2:14 katika mazingira