Yoshua 2:16 BHN

16 Akawaambia: “Nendeni mlimani mkajifiche huko ili wanaowafuatia wasiwakute. Kaeni huko kwa muda wa siku tatu, mpaka wanaowafuatia watakapokuwa wamerudi mjini, kisha mwende zenu.”

Kusoma sura kamili Yoshua 2

Mtazamo Yoshua 2:16 katika mazingira