22 Wapelelezi hao waliondoka wakaenda milimani. Walikaa huko kwa muda wa siku tatu mpaka wale waliokuwa wanawafuatia waliporudi mjini Yeriko, baada ya kuwatafuta na kukosa kuwaona.
Kusoma sura kamili Yoshua 2
Mtazamo Yoshua 2:22 katika mazingira