Yoshua 2:24 BHN

24 Wakamwambia “Hakika Mwenyezi-Mungu ameitia nchi yote mikononi mwetu. Tena wakazi wa nchi hiyo wamekufa moyo kwa sababu yetu.”

Kusoma sura kamili Yoshua 2

Mtazamo Yoshua 2:24 katika mazingira