Yoshua 20:3 BHN

3 Mtu yeyote akimuua mtu bila kukusudia anaweza kukimbilia katika mji mmojawapo na hivyo kumkwepa yule mtu aliye na jukumu la kulipiza kisasi cha damu.

Kusoma sura kamili Yoshua 20

Mtazamo Yoshua 20:3 katika mazingira