Yoshua 20:5 BHN

5 Yule mwenye kulipiza kisasi akimwandama mpaka mjini, wazee wa mji huo hawaruhusiwi kumtoa mwuaji huyo kwa yule mwenye kulipiza kisasi, maana alimuua mwenzake kwa bahati mbaya, kwa vile hapakuwa na uadui kati yao hapo awali.

Kusoma sura kamili Yoshua 20

Mtazamo Yoshua 20:5 katika mazingira