Yoshua 21:16 BHN

16 Aini pamoja na mbuga zake za malisho, Yuta pamoja na mbuga zake za malisho na Beth-shemeshi pamoja na mbuga zake za malisho. Jumla ya miji hiyo iliyo katika maeneo ya makabila hayo mawili ni tisa.

Kusoma sura kamili Yoshua 21

Mtazamo Yoshua 21:16 katika mazingira