Yoshua 21:25 BHN

25 Katika eneo la nusu ya kabila la Manase walipewa Taanaki pamoja na mbuga zake za malisho na Gath-rimoni pamoja na malisho yake. Jumla ya miji waliyopewa ni miwili.

Kusoma sura kamili Yoshua 21

Mtazamo Yoshua 21:25 katika mazingira