Yoshua 22:11 BHN

11 Basi, habari zikawafikia watu wa makabila mengine ya Israeli kwamba makabila ya Reubeni, Gadi na nusu ya kabila la Manase yalikuwa yamejenga madhabahu kubwa karibu na mto Yordani katika nchi ya Kanaani, yaani ndani ya eneo lao.

Kusoma sura kamili Yoshua 22

Mtazamo Yoshua 22:11 katika mazingira