Yoshua 22:23 BHN

23 Kama tumemwacha Mwenyezi-Mungu tukajenga madhabahu yetu wenyewe ili tutoe sadaka za kuteketezwa, za nafaka au za amani, basi Mwenyezi-Mungu na atulipize kisasi.

Kusoma sura kamili Yoshua 22

Mtazamo Yoshua 22:23 katika mazingira