Yoshua 22:30 BHN

30 Kuhani Finehasi, viongozi wa jumuiya nzima na wakuu wa jamaa za Israeli waliokuwa pamoja naye waliposikia maneno hayo ya watu wa makabila ya Reubeni na Gadi na nusu ya kabila la Manase, wakaridhika.

Kusoma sura kamili Yoshua 22

Mtazamo Yoshua 22:30 katika mazingira